Eneo la Iyumbu NHC Dodoma limekuwa na tatizo sugu la maji kwa zaidi ya mwaka sasa, mwanzo sababu mbalimbali zilikuwa zikitolewa ikiwamo kutumia kisima kimoja cha maji na chuo cha UDOM hivyo kutokidhi mahitaji, lakini pia udogo na wakati mwingine kuharibika kwa pampu za kusukuma maji hivyo kaya...