kero ya umeme rombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Rombo: Kuna Changamoto ya maji na umeme Kitongoji cha Lotiro, Rombo kwa muda mrefu. Mamlaka zinatuambia tusubirie uchaguzi ufike

    Maji hayatoki, pia wakala wa huduma za nishati na umeme vijijini hawatoi majibu ya kueleweka kuhusu wananchi ambao bado hawajapata huduma ya umeme, walifanya survey mwezi Machi mpaka sasa Septemba hawajarud tena. Ukifatilia kwenye ofisi zao hawatoi majibu ya kuridhisha wanasema subirini...
Back
Top Bottom