Serikali iruhusu wawekezaji wawekeze wanashindwa ku operate vivuko, kwa sasa kivuko ni kimoja vya azam vinafanya kazi kwa muda mchache kutokana na makubaliano yao.
Kero ni kubwa mno inakugarimu saa moja kutoka upande mmoja mpaka mwingine!
PIA SOMA
Vivuko vimekuwa kero, wanatoa taarifa za...
Jana usku unafika kivukoni unapewa taarifa kuwa hamna huduma utumie njia mbadala! Una tumia 5K nauli kurud home tu!
Hii ni kero mno kma wameshndwa wampe mtu anayejiweza #tumechoka
PIA SOMA
- Abiria tunaovuka Kivuko cha Kigamboni leo ni kero tupu, kivuko kimoja tu ndio kinafanya kazi
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.