Habarini jamani,
Naomba kujua kero mnazopata wafanya biashara na wanunuaji.
Nafanya utafiti tu ili niweze kujua shida kubwa hasa ni nini kwa pande zote mbili.
Kwa mwenye mda anaweza kucomment hapa.
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika Soko la Simu2000, jijini Dar es Salaam wameanza mgomo asubuhi ya leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwa kufunga barabara, huku wakiimba nyimbo za kudai haki yao.
Wamachinga hao wanadaiwa kulalamikia mpango wa sehemu ya eneo wanalofanyia kazi zao...