Hivi kuna tume inayoweza kufwatilia upatikanaji wa hivi vitambulisho vya nida
Yaani vimekuwa kama passport ya kuingia mbinguni
Unambiwa njoo wk 2 upate namba unafika wiki ya tatu unaambiwa hamna njoo wiki ijayo
Unakwenda unaambiwa chukua no hii uwe unatupigia ukiwa tayari tu takujulisha
Hapo...