TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11...