Walimu na Wastaafu Wenye Kero Mbalimbali wamejitokeza Kliniki Ya Walimu Na Samia Mkoani Arusha Kusikilizwa Na Kikosi KAZI Kutatua Kero zao
Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini