Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi.
Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi kufanya kazi na kushirikiana na serikali na kuongeza kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua alimuagiza asimamie haki za wananchi pamoja na kusimamia fedha za miradi ya maendeleo katika mkoa huo
Kenani Kihongosi amesema hayo...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi, huku akidai kuwa vyama vingine vina nia ya kutafuta madaraka pekee.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Ally Hapi, amesema kuwa kero nyingi zinazowakabili wananchi zinatokana na baadhi ya watendaji waliopo kwenye nafasi mbalimbali kutotenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Akizungumza na wananchi wa Babati Mjini...
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi.
Makonda kawainspaya wengi🌚.
====
DC Bomboko akiwa kata ya Manzese mtaa wa midizini katika kijiwe cha...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi Temeke kutozuia wananchi watakaobeba mabango kuwasilisha kero zao, kwa kile alichosema ni utaratibu wa ziara zake kusikiliza na kutatua kero za wananchi, pia amesema hapangiwi ratiba.
Katika kufafanua hilo Majaliwa amesema:
Nitatembelea...
Licha taarifa ya baadhi ya viongozi wa Serikali ngazi za juu kusisitiza Wanafunzi wa Shule za Serikali wasirejeshwe nyumbani kutokana na kukosa kuchangia michango, hali ni tofauti kwenye ya Shule Msingi Mazengo Makang'wa iliyopo Kata ya Makang'wa Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma.
Wanafunzi...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo Julai 9, 2024 ameanza rasmi ziara katika jimbo hilo kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Katika ziara hiyo Mhe. Ndumbaro ameambatana na wataalamu mbalimbali kutoka katika Manispaa ya Songea...
IGUNGA: "MBUNGE NGASSA KUPIGA KAMBI JIMBONI KWA SIKU THELATHINI"
📌 Kufanya Ziara kwenye Vitongoji vyote vya Mamlaka ya Mji Mdogo wa Igunga kusikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi
📌 Kukutana na Wananchi wa Kata Kumi na Sita za Jimbo la Igunga
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George...
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera Mhe. Erasto Sima anaendelea na ziara yake iliyoanza wiki hii ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi ambapo kesho ziara inaendelea. Kesho Jumatatu Juni 10, 2024 ni Kata ya Rukoma na Kibirizi na Jumanne Kikomelo. Wananchi wote mnakaribishwa. Bukoba Kazi...
Chanzo: Safari Media
VITUO VYA HUDUMA JUMUISHI.
Ni namna ya kusogeza huduma karibu na wananchi.
Ni mjumuiko wa taasisi/mashirika ya kiserikali na binafsi katika eneo moja ili kutoa huduma kwa jamanii/wananchi. Mfano BRELLA, WCF, MANISPAA/HALMASHAURI, NIDA, TRA, NSSF, RITA, HESLB, IMMIGRATION...
MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI
- Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja
- Wenyeviti wote kupatiwa simu maalum za kuwasilisha kero kwa uharaka
- Wenyeviti wa mitaa wampongeza kwa ubunifu
Mbunge wa Jimbo...
Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi.
Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua...
Tumeamka asubuhi na makelele ya loudspeaker: "Mkuu wa mkoa wa Mara anafika Butiama leo, ndio mara yake ya kwanza kuja hapa toka alipoteuliwa na Dakta Samia, mama wa shoka............."
Nasema "naye", maana yake kama Makonda. Alikuwa anasikiliza kero za wananchi: ugomvi wa viwanja, matatizo ya...
Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo.
1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi.
2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
SHEMSA MOHAMMED, MWENYEKITI CCM SIMIYU (M): SIKILIZENI NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amewataka viongozi wa chama hicho na viongozi wa serikali wa ngazi mbalimbali katika mkoa huo kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla amewataka Wananchi wanaopeleka kero kwa Viongozi wa CCM wanaoendelea na ziara kwenye Mikoa mbalimbali, kupeleka kero za ukweli badala ya fitina huku akisema hatoshughulika na kero hizo hadharani kwakuwa nyingine ni za faragha.
Akiongea...
"Nendeni mkasikilize kero za wananchi" - Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.
---
---
Makonda amezunguka mmeona mfano, Wananchi wana kero kadhaa, nyingine nyepesi tu za kutatuliwa huko chini, hawasikilizwi. Na wasiposikilizwa zile ndiyo kura zetu.
Akipita mwingine akiwaambia mimi...
Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote?
Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi?
Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.