kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hawa ndio Ccm ni wale wale Jana Leo kesho na hata milele

    Ukiusikiliza ule wimbo wa Ccm mbele Kwa mbele Kuna maneno yanimbwa " Ccm ni Ile ile na makali ni yaleyale" hii nikweli Vijana kama mnategemea sisiyemu itawalete kitu kipya sahauni sana sana wanaboresha namna ya kuifisadia hii Nchi. Kikwete si alituahidi ajira Kwa Kila kijana? Magufuli si...
  2. Waufukweni

    Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  3. S

    Wachezaji wa Yanga nawaomba kesho mniheshimishe.

    Naipenda Yanga, Furaha yangu sio pombe, furaha sio mpira wa Ulaya, Furaha ni Yanga. Mkifungwa mjue tunaumia zaidi yenu. Wikiendi yangu imeanza vizuri, Naomba kesho muindeleze kwa furaha tele. Ile ndoto niliyoota kwamba mnyama anakufa 3+ na ikatimie. Asanteni.
  4. Pdidy

    Kama kuna wanaotaman kesho iwe April wenye lodge na wauza kitimoto kwa sasa wanateseka SANA sana

    YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine...
  5. C

    DOKEZO Rais Samia kesho anahutubia Mkwakwani shule zote mapumziko

    Wadau, niko Tanga mjini hapa na katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakizungumza kwa furaha kwamba kesho hakuna shule ni mapumziko. Nikafikiri nimepitwa na nyakati kuna holiday halafu sijui, nikamuuliza kijana mmoja kwa nini hakuna shule akanijibu mwalimu mkuu kawatangazia kuwa rais Samia...
  6. Kitimoto

    Simba yamalizana na Waamuzi wa Mechi Yao ya Kesho

    Kama kawaida kwa mechi zake timu hiyo kongwe imemalizana na Waamuzi wa mechi ya kesho. Waamuzi hao wameshalamba sehemu ya mlungula wao kuhakikisha timu inashinda ikiwemo kutoa penalti na kumtoa nje ya uwanja mchezaji wa timu pinzani kwa kadi nyekundu. Wameangaika kuwarubuni baadhi ya wachezaji.
  7. D

    Usidanganywe, pesa huletwa na pesa, tumia pesa upate pesa. Je unahitaji pesa kesho 24.02.2024?

    Simple; Bet hata kwa mara ya kwanza. Tafuta mechi ya Simba na Azam kwenye mikeka ya Betting. Mpe Simba Ushindi. Mpaka Sasa ana point 1.60. Hapo ukiweka laki una laki na sitini, ukiweka milioni, una milioni na laki sita. Ukichelewa hizo point zinashuka. Simba kuifunga Azam is a must. Bet...
  8. Poppy Hatonn

    Viongozi wakifika kesho wataongea tu,lakini kwa sasa hakuna ufumbuzi kwa hii vita

    Tusiweke matumaini makubwa kuhusu summit meeting ya kesho. Jambo moja tunaweza kuridhika ni kwamba kwa kusikiliza ripoti nyingi tunaweza kuona kwamba wapo viongozi wa Jeshi la Kongo ambao sio waaminifu kwa nchi yao. Tutapata suluhu labda katika huu mgogoro lakini siyo katika Mkutano wa kesho...
  9. L

    Tuuombee Mkutano wa SADC kesho Ili Mgogoro wa DRC uoate suluhu

    Kesho moja ya agenda,kimsingi agenda kubwa ambayo masikio ya wengi yanasubiri kuona maridhiano ya mgogolo wa huko DRC unafikiwa muafaka.Tuendelee kuwaombea afya njema wahusika wote wakuu ikiwa ni pamoja wa maraisi wa DRC na Rwanda.Pia wawe na moyo wa huruma kuhurumia mamia ya wanawake na watoto...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Mtoto kamwaga ugali, nyumba yote wanakwenda kulala njaa

  11. milele amina

    Soko Jipya la Mbuyuni, Moshi Manispaa, lenye thamani ya Tsh 200 milioni kufunguliwa kesho tar 30.1.2025

    Karibuni wananchi wote!
  12. Mshana Jr

    Kesho vurugumechi zinarejea mjini

    Mliokimbizwa kea nguvu na mliokimbia kwa hiari karibuni tena.. Najua mlipamisi sana hasa pale kati.. Leo mitaa ilikuwa tupu na barabara hasa za kuelekea na kutoka Airport ilikuwa raha tupu Hakuna watu Hakuna bodaboda Hakuna gari za mizigo Na kama vilikuwepo ilikuwa kwa uchache mno Wendawazimu...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

    𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱 Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 – 28 Januari, 2025. Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
  14. S

    Kesho mkutano wa wakuu wa nchi kuhusu nishati huku Arusha-Arumeru tumekesha na Giza: Tatizo ni Nini?

    Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru halmashauri ya Meru tangia usiku mpaka sahizi hakuna umeme tuko gizani shida ni Nini? Wakati huo KUANZIA kesho Marais wa nchi za Africa wanaanza...
  15. A

    Tuwaombee Diaspora (undocumented) wanapakiwa kwenye madege ya kesho kurejeshwa kwao

    1. Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya kukodi na kuwarejesha makwao. 2. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu
  16. Ritz

    Hamas: Ndani ya mfumo wa kubadilishana wafungwa, Brigedi za Al-Qassam ziliamua kuwaachilia huru wanajeshi wa kike 4 kesho Jumamosi, 01-25-2025

    Wanaukumbi. Hamas: Within the framework of the prisoner exchange, the Al-Qassam Brigades decided to release the following female soldiers tomorrow, Saturday, 01-25-2025: 1-Soldier Karina Arif 2-Soldier Danielle Gilboa 3-Soldier Ne'ma Levy 4- Private Leri Elbag Hebrew Media: The list of names...
  17. Mwanadiplomasia Mahiri

    NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

  18. Li ngunda ngali

    Naiwaza kesho ya John Mrema, Yericko Nyerere na Kigaila

    Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi. Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
  19. Arafati Kilongola

    “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  20. Arafati Kilongola

    Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
Back
Top Bottom