kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni mvivu wa kwenda kanisani ila kesho 20/08/2023 lazima niende ni muhimu sana

    Kesho ni siku kubwa sana kwa sisi waamini..kwa kweli hata sisi wavivu wa kusali tumehamsika. Kupalizwa mbinguni bikira maria siyo jambo dogo huku pembeni kuna waraka wa DPW. Ebana eee kesho mapemaaaa misa ya kwanza kabisa afu seat ya mbele karibu na baba paroko.
  2. B

    Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

    Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu. Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi...
  3. Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki...
  4. "Mama Baleke" kuchezesha Simba na Yanga kesho

    Florentina alichezesha mechi ya Mtibwa akipigwa 3 na Baleke. Akachezesha mechi ya Ihefu Baleke akipiga 3 kati ya 5 Nimeanza kuwaonea huruma
  5. K

    Uwepo wa rais Mbeya kesho kwenye 8-8 ndio kumeahirisha hukumu ya kesi ya Bandari?

    Salam wakuu, Wengi wanajua kuwa leo Mahakamani hapo Mbeya kulipaswa kusomwa hukumu ya kesi inayovuta masikio na hisia za watu wengi, ambayo imetunguliwa na mawakili wa nne wakujitegemea dhidi ya Jamhuri (AG) na Bunge pia kupitia Katibu wa Bunge. Historia ya kuibuka kwa shauri hili...
  6. Tahadhari: Wakazi wa Mikocheni mpaka Ubungo Sheli Kesho Msitoke Nje

    Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo. Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari inawanyemelea huko. Ni hivi, kesho ntakuwa najifunza kuendesha pikipiki na ntatumia hiyo barabara hivyo...
  7. F

    Azma ya Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli yakaribia, akifika Chato kesho tarehe 02.08.2023 huenda itatimia

    Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo. Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka za Mkuu wa wilaya ya Chato. Baada ya viongozi kuwasiliana na Mkuu wa wilaya naye ameridhia tukio...
  8. SoC03 Mimi ni tunu ya taifa la kesho

    MIMI NI NANI? Naishi maisha katika giza kila nifanyalo haliendi likienda sifikii malengo niliyojiwekea MIMI NI NANI? Marafiki wananipoteza sioni ubaya katika wema kila ninaloishi leo ni katika kufurahisha watu ilihali mambo yangu hayaendi MIMI NI NANI? Nilienda chuo kusoma kitu...
  9. M

    SoC03 Leo na kesho bora

    Katika shule ya sekondari Muungano,mwalimu Ndamo alikuwa yuko darasani na alikuwa anamalizia kipindi katika somo la Historia,alikuwa anaacha kazi kwa ajili ya wanafunzi kuifanya na ndipo wavulana wawili walinyanyuka katika viti vyao kuelekea mbele ya darasa mahali ambapo mwalimu alikuwepo na...
  10. Hii inakuwa imekaaje?

    Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata! Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V...
  11. Serikali yaamuru shule kufungwa (kuelekea maandamano kesho Julai 19, 2023)

    Serikali ya Kenya imeamuru kufungwa kwa shule za msingi na sekondari za mchana zote jijini Nairobi na Mombasa kuelekea maandamano ya upinzani ya Azimio yatakayofanyika kuanzia Jumatano ya wiki hii. Katika taarifa ya pamoja iliyosainiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Prof. Kithure Kindiki na...
  12. D

    Maandamano ya UVCCM kupongeza Rais Hayataruhusiwa! Maelekezo ya kuyazuia yatatolewa muda wowote kufikia kesho

    Hakuna maandamano yatakayoruhusiwa! Iwe ya kupongeza au kupinga! Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa! Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!!
  13. Hata kama leo hatujauzwa, ilitokea kesho tumeuzwa ni nani atajua?

    Kinachoendelea Kuna maneno yanapita huku na kule yanachanganya..., wengine wanasema tumeuzwa wengine hatujauzwa; hata wale wanaobisha wengi wao hawana access ya information, zaidi ya hearsay za hapa na pale au fulani kasema na fulani hajasema au kilichoandikwa kinamaanisha hiki na sio kile...
  14. Wakili Peter Madeleka, Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel, Makumbusho

    Wakili Peter Madeleka,Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel,Makumbusho,Dar es Salaam.
  15. Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
  16. Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

  17. Tanga leo ni Idd, BAKWATA mbona mnatukanganya?

    Baadhi ya waislamu jijini Tanga asubuhi leo Jumatano Juni 28, 2023 wamejitokeza kuswali swala ya Eid al Haji katika uwanja wa Tangamano. My Take Bakwata kuweni Serious basi ,mnatukanganya.
  18. A

    SoC03 Taifa langu Jamii yangu

    Utawala bora na Uwajibikaji! Hivi ni vitu gani? Nani hawajibiki? Je utawala siyo bora? Nani ni mtawala? Mtawala ndiye hawajibiki? Au anayetawaliwa hawajibiki? Kipi kinaathirika zaidi ikiwa mtawala na mtawaliwa hawawajibiki katika nafasi zao? Tunaona sawa ila tunatazama tofauti.Ndiyo,mitazamo...
  19. Kwa msukumo wa POMBE kajikuta kamropokea mkewe kuwa anachepuka na Rafiki wa mkewe, mkewe kanitafuta, Shemu nahitaji kesho unikule kisawasawa!!

    Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto. Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni. Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula Shost wa mkewe ( Shem). Sasa Jamaa Jana alikua kalewa pombe, wamegombana na mkewe, mwisho jamaa...
  20. Tetesi: CHADEMA kujitoa kwenye maridhiano

    Kesho Baraza la Wazee CHADEMA watakutana na waandishi wa habari mchana. Taarifa za uhakika ni kuwa Lissu amefanikiwa kumshawishi Mbowe kuachana na Maridhiano. Hii ni baada ya msimamo wa Mbowe kwenye swala la bandari ambao ni kinyume na Mwenyekiti wa CCM Mhe. Rais Samia. Can they pull out of this?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…