Dortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa
Basi wakajaza uwanja "FULL HOUSE" kama Yanga, shangwe nyingi na vifijo, ila wakaambulia patupu
Kwenye maisha kitu ukikipania sana unakikosa sababu ya presha na paniki