Hatutasahau Wananchi kusalitiwa na CHADEMA mchana kweupe, hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM.
Hatusahau CHADEMA kuikataa hoja ya Wananchi kuhusu mchele kupanda toka Tsh. 1,500 hadi 4,000 kilo moja, Maharage toka Tsh. 1,200 hadi 3,800 kilo moja, Unga kilo toka Tsh. 800 hadi...