kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Tetesi: Kesho Kenya Mungu anapinduwa meza ya mzaliwa wa kwanza kama alivyofanya kwa Esau akampa Yakobo

    Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau... Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau...
  2. SoC02 Kuchochea hali ya kujiamini pamoja na elimu inayotolewa kwa vijana wa Kiafrika kama msingi wa kujenga ustawi wa taifa la kesho

    Kama ilivyo kwa sehemu kubwa duniani, Afrika pia ni sehemu ambayo inajengwa na nguvu kazi ya vijana kwa asilimia kubwa na kama inavyojulikana kwamba vijana ni watu wenye nguvu, akili na uwezo wa kutenda mambo mengi kwa sababu bado wapo imara. Lakini ni ukweli pia kwa miaka mingi sasa nchi nyingi...
  3. Tanzania haifi kesho ipo milele

    Ni jambo la kushangaza sana eti tozo tulizobakiziwa ni kwa sababu ya ujenzi wa miradi ya kimkakati! Kwamba miradi hii inayokaridiriwa kugharimu zaidi ya trilion 30 yote inapaswa kukamilishwa kwa fedha za tozo. Mwigulu anapaswa kuambiwa kuwa Tanzania ipo milele haifi leo wala kesho hivyo ujenzi...
  4. R

    Toa tozo nzuri au nikuandikie makosa yote maana kesho ya Kinana sijui kama nitakuwepo hapa barabarani - Trafiki

    Yamenikumba leo, nikatafakari nifanyeje maana gari ina makosa (ingawa si mengi) na nilimuunga mkono Comred Kinana kwa kero hizi za trafiki! Kilichofuatia ngoja nikiweke sirini. Nchi ya tozo, Tonzonia, sasa trafiki nao wana tozo zao, mwendo mdundo. johnthebaptist
  5. Nasa artemis 1: Kesho kuanza safari ya kuelekea katika mwezi

    ROCKET YA MWEZINI KURUSHWA SIKU YA KESHO 29 AUGUST Shirika la uchunguzi na tafiti zinazohusu anga za juu kwa ujumla NASA kufanya majaribio ya rocket itakayoweza kutumika katika safari za kuwapeleka wanaanga na vifaa mwezini katika masiku yajayo kwenye mission mbalimbali za kwenda kwenye gimba...
  6. Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

    Wanabodi, Makala ya leo ni Swali Sensa za nyuma tulihesabiwa ki analogia na ilichukua siku 1 tuu, sasa tunahesabiana kidigitali inachukua siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Leo ni siku ya 6, kuna kaya hazijafikiwa, kesho ni siku ya 7 ambayo ndio ya mwisho. Je, kaya zote...
  7. M

    Tupia moja ya Mbinu wanayoitumia hasa Wake / Mademu za Watu wakijua Kesho wanaenda 'Kukusaliti' na Mwanaume Mwenzako....

    Nizijuazo..... 1. Usiku ukirejea atakutafutia Kosa la Makusudi ili Mgombane na apate sababu ya Kukunyima Nyuchi yake. 2. Usiku atajifanya Kuumwa ghafla na hata Kulazimisha muende Hospitali ya Karibu ila Asubuhi atakupa Mrejesho kuwa anajisikia vizuri. 3. Ukiwa nae Unakula Sebuleni au...
  8. D

    SoC02 Afya iliyo imara kwa Taifa la leo ndio msingi imara kwa taifa la kesho

    UTANGULIZI: AFYA:Ni hali kujisikia vizuri kimwili,kiakili,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Afya ya binadamu itakua njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.Afya inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Chakula chenye virutubisho vyote vikiwemo protini,wanga,na...
  9. Jambo lipi ni muhimu kufanya ili kumuinua kielimu kijana ambaye ni taifa la kesho?

    Tumekua tukikalilishwa sana Watanzania kwamba elimu ni ufunguo wa maisha. NDIYO Elimu ni ufunguo wa maisha, lakini pia tukumbuke kwamba Elimu hiyo tunayowapa vijana wetu inawajenga vipi kifikra vijana wetu. Je, inawasaidia au ndio inawaharibu kisaikorojia? Tunajua hakuna jambo lenye faida tu...
  10. Thamani kubwa iliyobebwa na samaki

    Ni matumaini yangu ulishawahi kusikia makundi mbalimbali ya vyakula kipindi unasoma elimu ya msingi. Ambapo ulijifunza kuwa kuna Kabohaidreti/wanga, protini, fati, vitamini na madini asilia. Katika kundi la protini ulisoma kuwa, ni vyakula vinavyosaidia katika ukuaji wa mwili pamoja na...
  11. Mshahara wa Agosti ungeingia leo ili kesho tutulie tuwasubiri Makarani

    Kama kichwa kinavyojieleza. Mzigo ungeingia leo, ili kesho tukae na familia zetu tunawangoja makarani waje watuhesabie. Sasa hadi sahivi bila bila, tunaodaiwa madeni kesho tutaweza kweli kukaa majumbani? Karibuni wazee wa kusema walimu mna njaa kweli kweli.
  12. Sensa: Leo ni leo, Kazi ni Moja tu!, Kuhesabiwa!

    Wanabodi
  13. 4

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu jibu swali hili kabla ya kesho mimi kuhamia Burundi

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
  14. J

    DC JOKATE: Kishindo cha Tamasha la SENSA Wilayani Temeke ni Agosti 20 Viwanja vya Zakhiem Mbagala

    Hamasa ya Sensa Temeke yakutanisha makundi yote, kesho Viwanja vya Zakhiem Mbagala hakupoi ujanja kusensabika Kuelekea siku ya sensa leo tunakaa na viongozi wa wilaya, Kamati ya Usalama ya wilaya, Wages Homies madiwani, Wenyeviti wa mitaa yote 142, Wazee wetu, kutoka kata zote 23, Kamati ya...
  15. M

    Ceaser Lobi Manzoki ni Simba SC atatambulishwa rasmi Kesho Saa 5 Asubuh

    Sasa ndiyo tutaheshimiana Mjini hapa kwani Goal Scoring Machine inatua rasmi Simba SC. Kuna Uwezekano mkubwa Victor Agban ndiyo akaachwa na Simba SC kwani Kocha hajamkubali japo Viongozi wa Simba SC wao wanataka Mzungu wa Kocha Mshambuliaji Dejan Georgeviovich ndiyo aachwe. Ikitokea Wawili...
  16. Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

    "Jambo la Nchi kwa Wananchi. Kaa tayari......." 🔍 Young Africans sports club Tunaenda Kusimamisha Nchi
  17. N

    Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000? Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi...
  18. Singida Big Stars tumejiandaa kuwakabili Prisons kesho, watajua hawajui

    Watu wa Soka, Tumejiandaa vya kutosha kuanza mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu kesho dhidi ya Tanzania Prisons. Mashabiki wetu tunawakumbusha kukata tiketi mapema kupitia N-CARD kisha mjitokeze kwa wingi uwanja wa LITI (zamani Namfua) kesho mapema sana kuisapoti timu yetu. Hakutakuwa na tiketi...
  19. Pesa ya Mwanamke ilivyotamu lazima niilambe! Huo ndio msimamo wangu

    PESA YA MWANAMKE ILIVYOTAMU LAZIMA NIILAMBE; HUO NDIO MSIMAMO WANGU! Anaandika, Robert Heriel Ujumbe huu ni Kwa Hustlers wote. Vijana wote mliotokea kwenye Familia Masikini! Usiogope Kula au kutumia pesa ya Mkeo. Ati nisiitegemee pesa ya mwanamke, Nani kasema? Pesa ya mwanamke lazima Taikon...
  20. Kwa kikao cha Copenhagen, vita ya Ukraine na Urusi si ya kuisha leo au kesho

    Jana mataifa ya Ulaya 26 yalikutana jijin Copenhagen, huku ajenda kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya kuisaidia zaid Ukraine, kwa haraka misaada ilifikia dola billion 5 za phase one, kiasi hicho kinakadiriwa ni kikubwa sana. Silaha nyingi zimeshaanza kuingizwa Ukraine na Russia kwa upande wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…