kesi dhidi ya mbowe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Mahakama itoe hati ya kumkamata kiongozi wa dini aliyesema Rais amfutie kesi Mbowe

    Kiongozi wa dini aliye muomba Mh. Rais amfutie kesi Mbowe na wenzake ni kosa kwa mujibu wa sheria kwa kuwa ameingilia mchakato wa mahakama ktk kutoa haki. Tamko la kiongozi huyo wa dini limeonyesha wazi kuidharau mahakama na kuingilia taratibu za mahakama. Kiongozi huyo wa dini anafahamu wazi...
  2. Nyendo

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

    Habari Wakuu, Leo 31/ 01/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi...
  3. S

    Kwahiyo Mbowe anaweza kufutiwa kesi kwasababu Zitto kamuomba Rais amuachie?

    Bila shaka hiki ndio kitachofuata wakati wowote kuanzia sasa ambapo Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) anaweza kuifuta hiyo kesi huku Mbowe akiwa ameshapotezewa muda wake mwingi tu na pia serikali imeshaingia gharama kubwa tu kuendesha hii kesi. Sasa tujiulize,ikitokea hivyo, serikali itakuwa...
  4. idawa

    Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

    Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa, Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima. Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi. KWA UFUPI: ========...
  5. chizcom

    Kesi inayomkabili Mbowe ni sawa na kuchimba madini ya dhahabu

    Wale wachimbaji wa madini watakuwa wanafahamu unavozidi kuchimba kitaalam kila ukusanyaji wa viroba ndivo unavozidi kuibua madini ya aina mbali mbali. Kwenye uchimbaji mnapozidi kuchimba kila awamu lazima kucheki chabo ya udongo (hii ni njia kienyeji) ila kampuni kubwa kupima PPM kujua viwango...
  6. Shoctopus

    Wanaodhani ni Tigo tu wanajidanganya, lakini hata wanaotuchungulia nao wanachunguliwa

    Asalam-aleikhum Wana-JF! Niko kwenye mada tayari. Yule wakili wa TIGO ktk kesi ya Mbowe na wenzake jana tarehe 02/11/2021 amefunua uvundo (a can of worms) katika kampuni za simu na TCRA kwa upande mmoja na kwenye vyombo vya Dola na Serikali yenyewe kwa kiwango kinachotia wasiwasi. Kwa bahati...
  7. Ncha Kali

    Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

    Ndugu zangu! Kwa wale tunaofuatilia kwa ukaribu hii kesi pendwa, tutakumbuka maelezo muhimu kutoka kwa mashahidi wa pande zote mbili. Kwenye kesi ya msingi, tulisikia ushahidi wa ACP Kingai akimtaja Luteni Denis Urio kuwa alitumika kama mtego kwa sharti la kuripoti kila hatua. Kwa maelezo...
  8. Cathelin

    Mbowe hana cha kupoteza katika kesi yake

    Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI. Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi 1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi...
Back
Top Bottom