Wakuu,
Leo Kesi namba 456 inayowakabili Maxence Melo na Micke William imeendelea tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba kwa kusikilizwa Shahidi wa tatu na wa nne katika kesi hii.
Tayari shahidi wa kwanza kwenye kesi hii alishafanyiwa mahojiano na kutoa...