Mifumo ya Demokrasia na sheria imeona mbali. Huwezi mshitaki rais aliye madarakani. Kesi nyingi zilizofunguliwa na mamlaka za kisheria za shirikisho (Federal cases) zinakufa zote.
Kesi zilizofunguliwa majimboni, kama New York na Georgia nazo hatimaye zitayeyuka.
Wenzetu CHADEMA wajifunze mambo...