Wakili Mwandamizi, Alute Mugwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, anatarajiwa kuzikwa Jumanne, Novemba 10, 2026, Kijiji cha Mahambe, mkoani Singida, baada ya mwili wake kuagwa jijini Arusha.
Alute alifariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 1...