Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Kwa nini magari ya serikali yalitumika kufanya uharifu?
Kwa nini Sabaya...
Gazeti la Nipashe la leo limeinukuu mahakama ikisema kwa sasa ipo tayari kupokea ushahidi kutoka kwa wote waliobakwa na kuteswa na Lengai Ole Sabaya alipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai.
===
Hakimu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha, alitoa agizo hilo jana mahakamani huko baada ya kushindikana...
Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
Arusha. Shahidi wa tatu wa Jamhuri, Ramadhan Ayubu Rashid (26) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, jinsi mwenye duka alivyolazimishwa aseme hatoi risiti na watu waliokuwa eneo hilo, huku akimtambua aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Shahidi huyo ambaye ni...
Shahidi wa pili katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, Numan Jasin (17) amewatambua kwa kuwashika mabegani Sabaya na wenzake.
Shahidi huyo ametoa ushahidi huo leo Alhamisi Julai 22, 2021 Mbele ya Hakimu Mkazi, Odira Amworo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.