kesi ya diddy

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sean 'Diddy' Akabiliwa na kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono kabla ya kusikilizwa kwa kesi za awali

    Hii achatuseme kwamba kazini kwa Diddy kuna kazi. Kesi zinazidi kumiminika zinazomuhusu yeye hadi sasa ni maumivu kwake na je atazishinda zote kesi hizi? ================== Mkali wa Hip-Hop wa Marekani, Sean “Diddy” Combs anatuhumiwa kuhusishwa katika kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono...
  2. Baada ya picha zake na P Diddy kuvuja mtandaoni, team ya Leonardo DiCaprio yamkana P Diddy hadharani!

    Mwigizaji kutokea nchini Marekani, Leonardo DiCaprio ameamua kujitenga na kujiweka mbali na na Sean 'Diddy' Combs kufuatia kuibuka kwa picha inayoonyesha yeye akiwa kwenye moja ya sherehe maarufu za "white party" zilizokuwa zinaandaliwa na P Diddy. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na mwigizaji...
  3. Unaambiwa P. Diddy kwa 50 Cent aligonga mwamba

    50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?" 50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu...
  4. P

    Kesi ya Diddy: Hakimu azuia uamuzi wa Diddy kumlipa Derrick Cardello Smith Dollars 100 Million Kama alivyoamuliwa na Mahakama

    Baada ya Mawakili wa Diddy kupinga uamuzi wa Mahakama ya Michigan kutoa uamuzi wa Diddy kumlipa Cardelo Smith $100 m kwa abuse aliyesema kufanyiwa na Diddy Katika appeal ya Diddy, Hakimu amekubaliana na maelezo ya kuwa Mshitakiwa hakuwasilisha hati ya mashitaka kwa Mtuhumiwa Diddy. Soma Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…