Leo RCO amenyima dhamana na mahakama ipo imetulia tu. Wakati haya yanafanyika kuna watu wamelipwa mabilioni kuandaa ripoti ya haki jinai.
Unajiuliza tafsiri ya haki jinai ni nini? Je RCO anaweza kuwakatalia mahakama? Jaji Mkuu anaposhuhudia haya yakiripotiwa kwenye vyombo vya habari akakaa...