Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo.
Hayo ndio yalikua matarajio...
Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.
Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli...
Siku ya jana nimemsikia Balozi Mulamula akitoa onyo na vitisho dhidi ya mabalozi, maafisa wa kidiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao na taasisi za kimataifa hapa Tanzania kuhusu hatua yao kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Balozi...
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki, Mulamula, ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la.
========
Waziri wa Mambo ya Nje...
Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.
OCD asubuhi ya leo...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini.
Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
Kufuatia mahojiano ya Mtukufu Rais Samia na BBC, ameweka wazi kuwa vyombo vya habari viko na uhuru wao kamili.
Mtukufu Rais amekwenda mbele zaidi akisema kesi ya Mh. Mbowe ni nafasi nzuri kwa mahakama zetu, kuionyesha dunia kuwa haki inatendeka.
Kwa rejea mbili hizi ni wazi kuwa Mtukufu Rais...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
bbc swahili
freeman mbowekesiyambowekesiya ugaidi
mahakamani
mahojiano
rais samia
salim kikeke
ugaidi
uhuru vyombo vya habari
uhuru wa mahakama
upinzani
Mimi ni mtu wa kawaida na ni Mtanzania. Kesi ya Mbowe ndiyo sasa imechukua nafasi kubwa katika mijadala baina ya wanannchi, kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya ndani na nje.
Sisi sote ni Watanzania na tunatakiwa tupendane, tushikamane, tuwe wamoja bila kujali itikadi za vyama...
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi.
Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani.
Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai.
Kwake binafsi, Mbowe anashtakiwa kwa mashtaka ya kula...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo...