Wakuu,
Leo Januari 17, 2025, Mahakama ya Pakistan imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani, Imran Khan, kifungo cha miaka 14 jela na mkewe, Bushra Bibi, kifungo cha miaka 7, kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mamlaka na ufisadi kuhusiana na Taasisi ya Al-Qadir University Project Trust.
Uamuzi ulitolewa...