kesi ya sabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nigrastratatract nerve

    Shetani kashindwa kwa mara nyingine kesi ya Sabaya

    NA HAYA NDIO MAAMUZI YA MAHAKAMA YA RUFAA KATIKA KESI YA LENGAI OLE SABAYA. Well,Kwanza Nitangulize Kusema kwamba Mahakama hii ya Rufaa ndio Mahakama ya Mwisho Kabisa katika Ngazi ya Maamuzi ya Kimahakama Nchini Tanzania, Shauri hili baada ya hapa limefungwa Rasmi....tuendelee..👇 Hili Ni...
  2. Sildenafil Citrate

    Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae. Chanzo: Jambo...
  3. K

    Waliobakwa na Sabaya washindwa kujitokeza kutoa ushahidi

    Baada ya mahakama kuita watu wenye ushahidi kuhusu tuhuma mbalimbali anazotuhumiwa nazo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya. Bado mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza mahakamani kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na Sabaya, licha ya kwamba watu walitarajia wana chadema...
  4. BARD AI

    Rufaa dhidi ya Sabaya kusikilizwa siku 5 mfululizo

    Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, imepangwa kuendelea kusikilizwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Februari 27, 2023. Rufaa hiyo namba 155/2022 mbali na Sabaya wajibu rufaa...
  5. JanguKamaJangu

    Kesi ya Sabaya ya uhujumu uchumi yaahirishwa kwa mara ya 10 leo Oktoba 10, 2022

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa kwa mara ya 10, leo Oktoba 10, huku Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Kassim Nassir akiileza mahakama hiyo kuwa upelelezi wake utakamilika ndani ya siku 90. Sabaya na wenzake...
  6. peno hasegawa

    Sabaya mahakamani tena akiwa peke yake

    Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Jumatatu Septemba 26 amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi akiwa peke yake. Sabaya anakabiliwa kesi namba mbili ya uhujumu uchumi ya mwaka 2022, huku wenzake alioshitakiwa nao wakiwa wameachiliwa huru baada ya kukiri kosa...
  7. BARD AI

    Mahakama yakana kuendeshwa na DPP kesi ya Sabaya

    Kesi namba 2 ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi inayomkali Lengai Ole Sabaya imetajwa tena leo katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi mbele ya hakimu mfawidhi Salome Mshasha ambapo hoja mbalimbali zimeibuliwa ikiwemo ya DPP kuendesha mahakama kama anavyotaka yeye. Hoja hiyo imeibuliwa na wakili wa...
  8. peno hasegawa

    Sabaya aangua kilio mahakamani, kesi yaahirishwa

    Muda mfupi baada ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi Moshi, Salome Mshasha kuahirisha kesi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na ndugu zake waliokuwepo mahakamani wameangua vilio mahakamani. Kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2022 imeahirishwa hadi Septemba...
  9. JanguKamaJangu

    Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  10. Jembe Jembe

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
  11. waziri2020

    Mahakamani: Msaidizi wa Sabaya amkaanga ile mbaya, adai ni mtu hatari sana

    Shahidi wa 6 katika kesi ya Uhujumu Uchumi, Utakatishaji fedha haramu na kumiliki Genge la Uhalifu inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya {35} na wenzake sita, Watson Mwahomange{27} amedai Mahakama kuwa Sabaya ni mtu hatari sana na katika Maisha yake...
  12. J

    Wakili ajitoa kesi ya Sabaya, asema analinda maadili yake

    Wakili wa mmoja wa watu wanoshtakiwa pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha amejiondoa kumtetea mteja wake. Wakili Fridoline Bwemelo amesema ameamua kujiondoa kumtetea mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyo, Watson Mwahomange kwa kile...
  13. Jembe Jembe

    Sabaya aanza kujitetea Mahakamani, adai siku ya tukio alikuwa ofisini kwake Hai

    Shahidi wa 3, Lengai Ole Sabaya{35} ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro anayekabiliwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi leo ameanza utetezi wake katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili yeye na wenzake sita na kudai kuwa januari 22 mwaka jana hakuwepo eneo la tukio alikuwa ofisini...
  14. Naipendatz

    Mawakili wa utetezi wakwamisha uamuzi mdogo kesi ya Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya mawakili wa utetezi kushindwa kufika mahakamani. Katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  15. Mmawia

    Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imelazimika kuahirisha kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya shahidi wa 10, Francis Mrosso kudai kuwa anajisikia vibaya. Leo Novemba 24, 2021 shahidi huyo wa Jamhuri...
  16. Naipendatz

    Shahidi kesi ya Sabaya aieleza mahakama alivyotoa Sh90 milioni

    Mfanyabiashara Francis Mrosso (44) anayedaiwa kuombwa rushwa ya Sh 90 milioni na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, akidai kuwa alitishiwa asipotoa fedha hizo atafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi...
  17. Chachu Ombara

    Kesi ya Sabaya: Video kutoka Benki zikionesha maboksi yenye fedha alizoomba Sabaya zawasilishwa Mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Lengai Ole Sabaya na wenzake. Wiki iliyopita, upande wa utetezi ulipinga kupokelewa...
  18. Kurunzi

    Mfanyakazi wa Vodacom aeleza alivyochunguza Simu za Sabaya

    MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam, James Wawenje (39), ameieleza mahakama jijini hapa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Arusha ilimuagiza achunguze namba za simu ya kiganjani za washitakiwa...
  19. lee Vladimir cleef

    Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

    Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli. CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa...
  20. mshale21

    Mahakama yatupilia mbali pingamizi kesi ya Sabaya

    Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita. Sabaya na wenzake sita leo Alhamisi Septemba 30, 2021 waliwasilisha pingamizi...
Back
Top Bottom