Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya.
Mathalani, leo mawakili wa Serikali wanasema eti shahidi hawezi kuendelea na kuhojiwa kwa sababu ameshauriwa na...