kesi ya zombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natamani sana andiko hili la hukumu ya Afande Bageni lisomwe vituo vya Polisi na Makazi yao kwenye Paredi

    (Ameandika Malisa G. ) SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah Mugasha amegonga nyundo...
  2. Unaikumbuka kesi ya Zombe; watoto wa 2000 kaeni mbali kidogo

    Kesi ya Zombe ni moja ya kesi maarufu za mauaji nchini Tanzania. Inamhusisha aliyekuwa Afisa wa Polisi, Abdallah Zombe, na maafisa wengine wa polisi waliotuhumiwa kuhusika na mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini kutoka Mahenge, mkoani Morogoro, mwaka 2006. Maelezo ya Kesi Mnamo Januari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…