Habari Wakuu,
Shukrani za dhati kwa wale wote ambao wamekuwa nasi katika safari hii toka Disemba 2016 hadi sasa.
Kuweka wepesi kwa wadau mbali mbali ambao wamekuwa wakifuatilia mienendo ya Kesi zinazowakabili Mkurugenzi Mtendaji, ndugu Maxence Melo na mwanahisa wa Jamii Media ndugu Micke...