kesi za kiraia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mahakama ya kijeshi Uganda imepigwa marufuku kusikiliza kesi za kiraia

    Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida. Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji saba, likiongozwa na Jaji Mkuu Alfonse Owing Dollo, ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…