kesi za kubambikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Kisa Milioni 6, Mtendaji wa kata akutwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na kifungo cha miaka 20 jela!

    Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoani Songwe imemhukumu kifungo cha miaka 20 gerezani aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Mbuyuni baada ya kumkuta na hatia ya uhujumu uchumi. Afisa Mtendaji huyo, Assan Jacob anadaiwa kukusanya Shilingi milioni sita kutoka kwa wananchi 200 wa kata...
  2. M

    Jeshi la Polisi Mjitathmini. Tendeni Haki

    Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani. Walichoweza , ni...
  3. K

    Mbowe hakutegemewa kuwa kiongozi wa kukumbukwa Tanzania

    Ni vigumu sasa kwenda sehemu yoyote ya Tanzania na kuuliza kama wananchi wa eneo hilo wanamjuwa kiongozi aitwae Freeman Mbowe, au chama chake cha CHADEMA. Niseme binafsi yangu, tangu nimsikie Mbowe kuwa kiongozi wa CHADEMA, sikuwahi kumpa nafasi kubwa kwenye viongozi ambao ningesema nawatambua...
  4. w0rM

    Haki za Binadamu: Rais Samia anayo dhamira ya kweli? Kuna kesi za ajabu zinaendelea

    Kuna kesi kadhaa zinaendelea mahakama kadhaa nchini (Dar, Kilimanjaro, Iringa etc) kisa wahusika eti ‘hawakuwa na leseni ya Online TV’. Huu ni uonevu uliotoka awamu iliyopita na inaonekana unaendelezwa katika awamu hii. Kesi hizi zenye kulenga kutisha au kunyamazisha watu kwa kutumia sheria...
Back
Top Bottom