kesi za ulawiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

    Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma...
  2. Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?

    Habari wadau. Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri? Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…