MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa mke wa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kwa jina la Bilionea Msuya, Miriam Mrita, anayetuhumiwa kumuua wifi yake, Aneth.
Mbali na Mrita mshtakiwa mwingine aliyekutwa na kesi ya kujibu...