kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  2. Dar: Upelelezi kesi ya Watumishi 16 waliopiga Tsh. Bilioni 8.9 za Halmashauri ya Jiji Wakamilika

    Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili watumishi 16 wakiwemo wahasibu wa Jiji la Dar es Salaam umedai upelelezi umekamilika wanaandaa taarifa kwa ajili ya kuituma Mahakama Kuu. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 143 likiwemo la kuisababishia hasara jiji hilo zaidi ya Sh8.9 bilioni...
  3. M

    Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

    Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni. Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali...
  4. O

    KESI YA MKE WA BILIONEA MSUYA: Mamantilie alivyoshirikishwa gwaride kutambua mshtakiwa

    Dar es Salaam. Mkulima kutoka Songea mkoani Ruvuma, Sophia Amir Shemzigo, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa alikuwa mmoja wa watu walioshiriki katika gwaride la utambuzi wa mshtakiwa wa kwanza, Miriam Steve Mrita katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya. Mkulima huyo alieleza...
  5. Ipo siku wale waliomtukana Rais Hayati Magufuli na sauti zao kuvuja watafunguliwa kesi ya Uhaini.

    Wasalaam JF, Ndugu Watanganyika wenzangu wakati vuguvugu hili la Bandari zetu kuwa katika hali ya sintofahamu. Niwakumbushe huyu Mwamba anaezuia mainstream media kuripoti taarifa mbalimbali za kukataa mpango wa Bandari zetu kugawiwa kwa DP World. Miaka kadhaa nyuma huyu bwana na wenzako...
  6. O

    KESI YA MKE WA BILIONEA MSUYA: Shahidi askari ayakana maelezo yake

    Dar es Salaam. Shahidi wa 16 katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara tajiri maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; ameyakana maelezo yanayodaiwa aliyaandika kuhusiana na kesi hiyo. Shahidi huyo, Askari...
  7. Kesi za Michael jackson Kulawiti Watoto zafufuliwa tena

    Wade Robson na James Safechuck, wamemshtumu Michael Jackson (MJ) kuwanyanyasa Kingono wakati wakiwa Watoto ambapo Kesi zimefufuliwa dhidi ya kampuni zinazomilikiwa na Nyota huyo, aliyefariki mwaka wa 2009. Majaji 3 kutoka Mahakama ya Rufaa ya California wamesema Mahakama ya Chini haikupaswa...
  8. S

    Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

    Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
  9. Watetezi wa Bandari wafika Mahakama ya Rufaa, Shughuli imeanza upya

    Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi cha kuamua, wametinga Mahakama ya Rufaa na kuanza tena Uzalendo wao wa kutetea Bandari. Mmoja wa...
  10. O

    Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Kisu kinachodaiwa kutumika katika mauaji ya Aneth Msuya, mdogo wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, kimewasilishwa mahakamani na kupokewa na mahakama kama sehemu ya vielelezo vya upande wa mashtaka katika kesi ya...
  11. R

    Kama Serikali imekosa maelezo ya onyo, imekosa sauti; waandishi wa habari wamekataa kuwa mashahidi; Shahidi gani amebaki kesi ya akina Dk. Slaa?

    Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi. 1. Maelezo yao ya onyo 2. Wamekataa kurekodiwa sauti 3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
  12. SI KWELI TANESCO wameshindwa kesi Marekani na wametakiwa kutoa bilioni 320 kwa IPTL

    Salaam, Ndugu zangu kuna habari nimeona inasambaa kwa kasi Twitter ikidai kwamba Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited. Taarifa hiyo inadai TANESCO yashindwa kesi Marekani na kutakiwa kuilipa IPTL billioni 320! Je kuna...
  13. Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited. Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya inayoshughulika na migogoro ya uwezekaji, ICSID yenye makao yake mjini Washington DC, Marekani na ipo chini ya benki ya dunia.Tanesco ilikuwa...
  14. Kulikoni kukamatwa na kupewa kesi kina Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa wakati Lissu ndiye anaupinga mkataba kwa lugha kali zaidi?

    Peace, Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali. Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na...
  15. Lengo la Serikali ni kuwaua wakosoaji? Kesi ya Uhaini ni eneo la kujifunza

    Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu. Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
  16. Baada ya kushindwa hoja sasa wanajaribu kuhamisha mjadala kwa kuwabambikia kesi za ajabu ajabu wakosoaji

    Inawezekana ndivyo mabingwa wa siasa ndani ya chama wamemshauri hivyo. Kuwa ili watu waache kujadili ule mkataba wa ajabu kabisa uliosainiwa na serikali basi watu fulani fulani wakamatwe na kupewa kesi za nzito nzito. Kwamba mjadala utahamia kwenye kesi hizo za jinai badala ya mkataba. Mambo...
  17. C

    Kesi za uhaini ni mpango wa kuwanyamazisha wapinzani mpaka 2025 ipite

    Huu ni mpango kabambe, umeshasukwa umesukika. Kuhusu kudakwa mmoja mmoja, si tetesi tena kwa sababu tayari wapo huko kusikojulikana. Ishu ni hii, wapewe kesi ya uhaini ambayo hawatotoka kamwe. Tayari mashtaka yameshaandaliwa, wote watakao dakwa imepangwa, ni sarakasi hadi 2025 ipite. List yao...
  18. R

    Afande Wambura soma kesi ya Machano vs Republic hapa chini ujiridhishe ni elements zipi zinaweza kufanya treason

    S.M. Z versus Machano Khamis Ali and 17 Others; Criminal Application No 8 of 2000: Court of Appeal of Tanzania at Zanzibar (Unreported). Criminal Law Treason – whether or not treason can be committed against the Revolutionary Government of Zanzibar. Treason – what are the elements of offence...
  19. Hukumu ya kesi ya Kikatiba kuhusu IGA: Ni upotoshaji kuaminisha kuwa IGA inaathari kwenye Sovereignty na miliki ya rasilimali

    Regarding the contention that Article 4 (2) of the IGA is violative of theAct No. 5 of 2017 and the constitutional provisions on sovereignty, our unflustered view is that the petitioners' construction of the said provision is ill-thought-out, if not misleading. Our unfleeting reading of Article...
  20. Wameshinda kesi lakini hawana furaha

    Mtunzi maarufu wa riwaya za kufikirika mwanakwenda James Hadley Chase ana novel yake moja inaitwa The guilty are afraid yaani mwenye hatia ana hofu. Kuna raha fulani unapofanya ubakaji. Lakini baada ya kumaliza kuna hali fulani ya kusutwa na nafsi. Inatisha sana sana. Na m'bakaji pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…