Wengi wetu tunafahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii, hasara na uduni wa maendeleo, vinasababishwa na viongozi wa Serikali.
Iwe ni matumizi mabaya ya pesa ya umma, inasababishwa na maamuzi mabaya ya viongozi.
Iwe ni ubadhirifu wa pesa ya umma, kwa kiasi kikubwa unafanywa na viongozi na...