kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Shahidi kesi ya Zumaridi asahaulika gerezani asababisha kesi yashindwa kusikilizwa Mahakamani

    Kesi namba 10 inyomkabili Diana Bundala Maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake 8 imeshindwa kuendelea Oktoba 31, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kutokana na Shahidi namba sita ambae pia ni mshtakiwa katika kesi hiyo, Suzana Simon kutoletwa Mahakamani hapo. Zumaridi na...
  2. Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  3. Unyanyasaji wa Polisi; Umewahi kupigwa, kuteswa, kudhulumiwa, kukomolewa au kubambikiwa kesi bila kosa? Weka mkasa wako hapa

    Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja. Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
  4. TAKUKURU yakamilisha upelelezi dhidi ya Sabaya, kesi kutajwa tena leo

    Wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ikitarajiwa kutajwa leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema upelelezi umeshakamilika. Mwananchi lilimtafuta Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi kujua mwenendo wa...
  5. CHADEMA: Kuahirishwa kesi ya Wabunge 19 wanasogeza muda

    Wanachama wa CHADEMA, jana walionyesha kutoridhika na kukasirishwa na sababu za kuahirishwa kesi ya wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa chama hicho. Kesi hiyo iliahirishwa kwa madai kuwa shahidi ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Bara, Hawa...
  6. Maafisa wa Kitengo kinachodaiwa kuua watu Kenya waomba aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi (DCI) ajumuishwe kwenye kesi

    Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe. Mmoja wa maafisa amesema "Kwa siku mbili tumekuwa tukihojiwa juu ya mambo ambayo hatuelewi. Tunayosikia ni masuala ya Mauaji...
  7. Kesi ya Zumaridi yakwama kusikilizwa leo Oktoba 17, 2022 kisa maumivu ya mguu

    Kesi inayomkabili Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake imeshindwa kuendelea leo Oktoba 17, 2022 baada ya mtuhumiwa huyo kudai kuwa ana maumivu makali ya mguu na kuomba kesi hiyo ihairishwe ili apate matibabu. Mfalme Zumaridi alitarajiwa kuanza kujitetea leo katika kesi...
  8. Polisi: Ndugu ni chanzo cha kesi za Ukatili wa Kijinsia kufutwa

    Afisa Polisi Jamii kutoka Mkoa wa Kipolisi Ilala Eugene Mwampondele amesema Kesi 949 kati ya 1,271 zilizopelekwa Madawati ya Jinsia katika Mahakama ya Wilaya mwaka 2018/21 zimeondolewa. Ametolea mfano takwimu za matukio ya Ukatili wa Kijinsia katika Kituo cha Stakishari pekee yameongezeka hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…