khaki

Khaki (UK: , Canada and US: ) is a color, a light shade of brown with a yellowish tinge. Khaki is an equal mix of sage and buff so it is considered a quinary color.Khaki has been used by many armies around the world for uniforms, including camouflage. It has been used as a color name in English since 1848 when it was first introduced as a military uniform. A khaki uniform is often referred to as khakis.
In Western fashion, it is a standard color for smart casual dress trousers for civilians, which are also often called khakis.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

    Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili . Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha...
  2. Winga dalali

    Ajira za Polisi 2022/2023

    Msaada wana JF, Kuna mdogo wangu,alituma maombi ya kazi polisi, kwa kutumia cheti cha kidato cha nne (IV) waliambiwa wapeleke kwa makamanda wao wa mikoa, tofauti na wale weneye elimu kuanzia certficate hadi degree walituma maombi kwa njia ya mtandao. Leo tovuti ya jeshi la polisi imetoa orodha...
  3. A

    Badala ya kutoa magoli ya mchongo sasa marefa wa bahasha za khaki wageukia red kadi za mchongo

    Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji red kadi za magumashi. Juzi hapa baada ya kuonekana kuwa wakata miwa wa turiani...
  4. Rion Jr

    INAUZWA Nauza vifaranga vya Bukin, Mallard, Jumbo Perkins, Khaki Campbell, Indian Runner na Ruen

    Kwa mahitaji ya bata na vifaranga vya bata bukin Mallard Jumbo perkin Khaki Campbell Indian runner Ruen Wanapatikana CHANIKA KWA SINGA, ILALA DAR ES SALAM Call: 0746 696878 Instagram: ILUNDA FARM FACEBOOK: MABATA DAR
  5. Yesu Anakuja

    Kwanini matajiri hukupatia pesa kwenye bahasha ya khaki?

    Hili swali kuna mtu kaja kuniuliza nikashindwa kumjibu, what is it behind matajiri wanapokupatia pesa cash, kukuwekea kwenye bahasha ya khaki, anauliza kwanini wasikupatie tu mkononi. Inaonesha alifanya kazi fulani akatakiwa kupewa cash, akapewa kwenye bahasha ya khaki, na yeye ni kama mtu...
  6. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga SC 1-1 KMC | VPL | Mkapa Stadium

    00' Mpira unaanza kwenye dimba la Mkapa 28' Greyson David anaachia mkwaju na kuiandikia KMC bao la kwanza 36' Chars Iyanja anashindwa kuingozea KMC bao la pili baada ya kubaki yeye na goli, mlinda mlango FaruqShikalo alijaribu kutoka kuuwahi mpira lakini aliukosa 45+2' Mapumziko 46' Yaqub...
  7. E

    Mawazo kuhusu biashara ya Bahasha za khaki / Paper Bags

    Habari? Jina Langu ni Mr Equator. Ni kijana ambaye najaribu kuyatafuta maisha. kwa njia mbali mbali. Nimekuwa nikitafuta wazo la biashara ya pembeni (Side-hustle) ya mtaji kati ya Laki 1-2. Kwenye pita pita zangu nimepata wazo la biashara ya bahasha na nika angalia video baadhi Youtube. Nika...
  8. P

    INAUZWA Tunauza mifuko ya khaki bei ya kiwandani

    Packline Company Limited,ni kiwanda kinachozalisha na kuuza mifuko ya khaki kwa gharama nafuu,baadhi ya bei zetu ni kama ifuatavyo 2kg ziko 1600pcs bei ya katoni Tsh 64,000 3kg ziko 1280pcs kwa katoni bei 64,000 Pia tuna handle bags Za size tofauti A5 Tsh 150 A4 Tsh. 250 A3 Tsh 300 Wasiliana...
  9. Sky Eclat

    Rais Museveni wa Uganda akipigiwa magoti na wazee huku akitoa pesa kwenye bahasha za khaki

    Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda akiwa ameketi huku wazee wakimpigia magoti na kupewa chochote kwenye bahasha ya kaki. Ikumbukwe kuwa uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika mwakani February 9, 2021. Kiongozi huyo wa taifa la Uganda ameongoza Uganda kwa takribani ya miaka 34 hadi...
Back
Top Bottom