Msaada wana JF,
Kuna mdogo wangu,alituma maombi ya kazi polisi, kwa kutumia cheti cha kidato cha nne (IV) waliambiwa wapeleke kwa makamanda wao wa mikoa, tofauti na wale weneye elimu kuanzia certficate hadi degree walituma maombi kwa njia ya mtandao.
Leo tovuti ya jeshi la polisi imetoa orodha...