KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR KIPO TAYARI
Rafiki yangu mmoja katika uongozi wa juu Zanzibar na aliyeshuhudia yote yaliyotokea kabla na baada ya mapinduzi alipata kuniambia kuwa ili kuielewa historia ya Zanzibar inataka mtu apinde mgongo kuisoma.
Akaendelea kusema na ubongo wako ufungue uwe...