kheri james

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aramun

    Anthony Mtaka na Kheri James waipinga style anayotumia Makonda ya kusikiliza kero kwa kuzungukwa na media

    Anthony Mtaka: "Hawa Ma-DC wanafanya kazi kubwa kutatua kero, ni vile hawana ma TV tu." Kheri James: "Tutenge muda wa kutatua kero na si kusikiliza kero"
  2. Kabende Msakila

    Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

    WanaJf, SALAAM! Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi. Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani...
  3. J

    Wafanyabiashara soko la Mbezi Beda wadai DC Kheri James anamhujumu RC Makalla kwa kuwarejesha baadhi yao kusikoruhusiwa

    Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi. Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
  4. Sky Eclat

    G Malisa: Kamati Kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao ndani ya chama viongozi wa UVCCM waliokubali teuzi mpya

    Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala. Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
  5. M

    Kheri James na Vincent Mashinji kupewa Ukuu wa Wilaya ni demotion

    Uteuzi wa komredi Kheri James Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa (UVCCM) na Dr. Mashinji kuwa wakuu wa wilaya hii ni demotion( Kushushwa Vyeo), kwani hawa walikuwa viongozi wa juu na sasa wanakwenda kuwajibika kwa wakuu wa mikoa Amos Makala Dar es Salaam na Alli Hapi, Mara. Kwa nafasi...
  6. MKEHA

    Heri James karibu Ubungo. Kwa kadri ya uwezo wako umeifanyia mengi UVCCM

    Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake. Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga...
  7. Z

    Hongera DC Kheri James, tusaidie kutatua changamoto hizi Kibamba

    Kipekee nampa Pongezi Heri James kwa kuteuliwa kuwa DC wa Wilaya ya Ubungo. Wananchi wa Ubungo wana imani kubwa na wewe haswa kwa uzoefu ulio nao na maono uliyo nao, ulifanya kazi kubwa ulipokuwa Mwenyekiti wa UVCCM. Wilaya ya Ubungo ni Miongoni mwa wilaya mpya katika Jiji la DSM na Makao yake...
  8. Erythrocyte

    Baada ya Heri James kuwa DC, Mwenyekiti Mpya wa UVCCM kutokea tena Zanzibar?

    Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar. Sasa swali langu ni...
  9. J

    Nape Nnauye ampongeza Kheri James na UVCCM, awataka watani wao (Chadema) wakajifunze siasa CCM

    Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama. Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM. Kazi Iendelee
  10. Petro E. Mselewa

    Kheri James ameomba radhi kwa mambo/makosa/ mabaya gani aliyoyafanya/aliyoshiriki kuyafanya au aliyoyajua yamefanyika?

    Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni...
  11. Libya

    UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
  12. Kifurukutu

    Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  13. Dr Akili

    Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

  14. M

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Iringa ahamasisha Mbowe, Zitto na wengine wanaoikwamisha Serikali 'washughulikiwe'

    Kuna kauli zinatolewa na UVCCM za kuua watu, this is HATE SPEACH!!! kwa nini hamchukui hatua?. Mimi nadocument hizi clips zote na natarajia kuziwakilisha kwa Fatou Bensouda kabla ya uchaguzi mkuu October 2020. UPDATE: Katibu Mkuu wa CCM amekemea kauli hizi > Dr Bashiru aonya...
Back
Top Bottom