Hivi wakuu ni muhimu namna gani mtu kufanya mazoezi ya kujiweka fit kimwili na kiakili.
Sasa kwanini imejengeka kifikra kuwa mazoezi mfano ya karate, judo, kuwa eti ni mazoezi ya kigaidi, kuna sheria imetungwa kuwa hayo mazoezi au iyo michezo ni ya kigaidi? Kwaiyo watu bora wawe laini laini...