Wakuu salama? Niwasalimu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wana - JF.
Mada hii fupi sana: Kama wewe ni sehemu ya watekaji tubu na jiandae, Mungu amenionesha pigo kubwa juu yenu.
Akinionesha mfano wa mmoja wenu ambaye ni mtekaji, alifika mahali tulipokuwa ambapo ilionekana kuna watu wengi...