kiama

  1. L

    CHADEMA badilisheni bendera ya chama chenu, rangi nyekundu ni ishara kuwa mnataka nchi kwa kumwaga damu, hamtafanikiwa hadi siku ya kiama

    Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa vita tu, nchi hii imepata uhuru wake kwa amani kabisa bila kumwaga damu, nyie mna bendera yenye rangi...
  2. D

    Pre GE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

    Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024. Kawawekea matozo ya kila...
  3. D

    Kuna watu hawatatubu hata katika siku ya kiama.

  4. Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

    Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam anawachemshia dawa ambayo hamtakuja kumsahau. Yaani mtajuta kumfahamu. Mara nyingi wanaume hawa huvizia kwenye...
  5. Abadani afrika itaendelea kuwa mtumwa na masikini mpaka kiama

    Kwenu wana jamvi leo nimekalia jamvi siti ya mbele kuongelea msiba mkubwa wa nchi za kiafrika kurudi nyuma karne moja iliyokwishapita,si aghalabu ila naona imekifu sasa licha kuanza kwa harakati za kujikumboa kwa mtu mweusi kipindi cha utumwa ambapo ilitumika nguvu nyingi kupinga biashara ya...
  6. UN: Kinachotendeka Gaza ni mithili ya kiama, yaani apocalyptic

    Gaza haitokuja iamke tena, tunaipoteza tukiiona hivi hivi, Israel ni hatari, wale watu ni makatili, jameni raisi wangu asiwahi kujichanganya na kuleta shobo kwa Wayahudi, wanapaswa kuogopwa sana. Yaani chezea masharubu ya Warusi, Wachina na mataka taka mengine wakiwemo hata Wamarekani ila...
  7. Rais Samia situka, vifo vya watoto na wajawazito ni kama kiama sasa. Sifahamu iwapo ni hali ya kimabadiliko ya hali hewa

    Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya? Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito? Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa? Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba...
  8. Kiama cha marejesho nimechukua simu Infinix note 5 kwa wadaiwa wangu watumishi kama Serikali haiwajali na mimi sina huruma

    Sasa watumishi wanaokopa kwangu kwa riba watakiona cha moto mpaka akili ziwarudi pumbavu zao, marejesho yakichelewa sina huruma na hawa ngedere tukiwaambia waache ujinga wa kujilegeza hawataki. Awamu hii serikali mdebwedo hadi mseme ngedere nyie. Na ikipita leo ngedere watasaga meno niliwaambia...
  9. Video: Radi zimepiga Gaza utadhani kiama, sijui wana laana gani hawa

    Poleni sana wahanga, mara radi mara mabomu ya Israel https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI
  10. Maamuzi ya Nyerere kutuingiza AU, SADC, EAC na hatimaye Muungano yatatutesa hadi kiama. Nini kifanyike?

    Ukweli usemwe Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia wanayaacha yenye tija na kuendeleza yale mabaya yake. Katika mambo ya kipuuzi aliyoyafanya...
  11. Yule forward hatari wa Waydad sikumuona Jumamosi, Ijumaa kuna kiama

    Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi. Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad. Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
  12. Yaani hivi tunavyoipromoti JamiiForums hapa tukikuta Zawadi zetu ni zifuatazo nitanuna hadi Kiama

    1. Key holder ya JamiiForums 2. Handbook ya JamiiForums 3. Cello Pen ya JamiiForums 4. Flyer ya JamiiForums 5. Kupiga Picha na Jengo lao zuri na Nembo yao nzuri kisha kupata nao Lunch na Kuondoka 6. Handkerchief ya JamiiForums 7. Sandals (Kandambili) za JamiiForums Jamani tuandalieni huko...
  13. Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  14. Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

    Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
  15. Kwetu sisi waislamu, tunaamini umasikini ni dalili ya kiama

    Inafahamika kuwa umasikini ni ukosefu wa chakula, makazi, mavazi, huduma za afya na mahitaji mengine ya msingi kwa sababu ya kipato duni. Licha ya fursa zinazopatikana kutokana na maendeleo ya teknolojia, umasikini hivi leo ni moja kati ya matatizo makubwa kabisa yanayoukabili ulimwengu. Katika...
  16. Tutamjibu nini mola wetu huko kesho kiama?

    TUTAMJIBU NINI MOLA WETU HUKO KESHO KIAMA?? Nikukumbushe tu, kama sio kukujuza yakwamba Sijazaliwa katika familia yenye kujulikana au kuwa na heshima popote pale, Kwa bahati mbaya sikuwahi pia hata kushika nafasi zile tatu za juu darasani Nakumbuka kuchekwa, kukatishwa tamaa, kunenewa uongo...
  17. Kiama cha CCM ni halisi kitaondoka na watu

    Ni siku na wakati mwingine tena, poleni na majukumu ya kulijenga taifa hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waswahili walisema ni "Heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaaa ulimi" Kuna viongozi wa kiserikali na viongozi wa CCM ambao wamepewa dhamana hawakukosea kutembea ila walitamka maneno...
  18. Baada ya tangazo la Rais Samia kusitisha retantion fee bodi kwangu imekuwa kiama

    NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya milioni 2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato. Majibu niliyopewa ni...
  19. Mwanaharakati Mutemi Kiama aachiwa kwa dhamana, aagizwa kutosema chochote kuhusu mikopo ya Kenya

    Mwanaharakati Edwin Mutemi Kiama ameachiwa huru kwa dhamana ya Ksh 500,000 pesa taslim' Kesi yake itasikilizwa tena Aprili 20. Mahakama imeagiza asiseme chochote kwenye mitandao ya kijamii kabla ya tarehe hiyo. Edwin anakabiliwa na kesi ya kumfedhehesha Rais kwa kutengeneza bango mitandaoni...
  20. Hofu ya kufa imefanya dunia ianze safari ya kiama

    Utabiri wa mwisho wa dunia umetolewa miaka mingi na mbali mbali huko nyuma.Utabiri wa namna hiyo ulipita na kuondoka na baadae watu kurudi kwenye shughuli zao na starehe zao kama kawaida. Tangu kuzuka kwa corona binadamu wamepatwa na hofu iliyo kubwa kiasi kwamba wale waliozowea kuona dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…