Leo nimeenda na Mgombea wangu kwenda kuchukua fomu ya Kugombe ubunge kwa Tiketi ya Chama Rafiki.Nimekuta tayari vyama saba vimekwisha chukua FOMU ila CCM na CHADEMA bado hawajachukua Fomu.
Nilipokuwa hapa kwa msimamizi wa uchaguzi kuna mambo ambayo nimeyaona na kuyatafakari hasa kuhusu CCM...