kiapo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  2. J

    Wabunge wapya walioteuliwa kuwa Mawaziri wataanza na kiapo kipi, cha Ubunge au cha Uwaziri?

    Miaka ya nyuma iliwezekana waziri kuanza na majukumu yake kabla hajala kiapo cha ubunge na hii ilikuwa ni kwa sababu wabunge waliapishwa wakati wa vikao vya bunge. Je, kwa sasa hawa wabunge wapya akina Dkt. Dorothy na mwenzake itabidi waanze kwa Ndugai ndio waelekee Chamwino? Nawatakia...
  3. J

    Je, iwapo Spika ni Mbunge ni wakati gani anakula kiapo cha Ubunge mbele ya Bunge?

    Tuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo. Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge? Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi. Maendeleo hayana vyama!
  4. J

    Je, kuna haja ya Spika Ndugai kumjibu Mbowe juu ya tafsiri halisi ya Katiba na Kanuni kuhusu kiapo cha mbunge?

    Spika Ndugai alisema kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kuapishwa nje ya ukumbi wa bunge jambo muhimu ni lazima mbunge aape mbele ya Spika wa bunge. Mwenyekiti wa Chadema ambaye ni mbunge mstaafu na pia alikuwa mjumbe kwenye kamati ya kanuni amesema kanuni ile inakwenda kinyume cha katiba...
  5. NEW CABINET 2020: Ninaomba iwe desturi kwa Waziri wa Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamhuri

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Ninaomba sasa iwe desturi kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi ya asili anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamuhuri. Waziri wa zamani wa utalii (Dr. Khamis...
  6. Uchaguzi 2020 Kiapo cha Halima Mdee na wenzake: Mnawaonea kuwaita wasaliti bila kujua kilicho nyuma ya pazia

    Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko. Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili. Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse USALITI tu. Lakini mnaelewa nini kimewasibu. Just please try hata siku moja be positive. Think different
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…