Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.
Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.
Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.