kibabe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rekodi za Kibabe: Yanga VS Waarabu mashindano ya CAF

    Kwa kuwa Yanga wana mechi na waarabu wa Sudan AL-HILAL nikalazimika kwenda kupekuwa pekuwa kwenye kumbu kumbu za CAF kama Yanga wamewahi kufanya jambo lolote dhidi ya waarabu hapo Taifa nilichokutana nacho aisee SHIKAMOO YANGA Confederation Cup 2018 Young Africans-USM Alger 2-1...
  2. Hii ndiyo Rekodi ya Yanga ya Kibabe Africa

    YANGA imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano lililopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mara ya mwisho kwa Yanga kupoteza...
  3. Zuchu wa WCB ashukiwa kibabe na wanamizengo alimtuhumu Ustadh Kumdhalilisha huku akikumbushwa Mamayake kudhalilisha wakina mama

    Ikiwa ni saa chache baada ya Zuchu kupitia page yake ya Facebook aliwaeleza washabiki wake malalamiko zidi ya kudhalilishwa na ustadh Jumaa yeye na familia yake kuhusu kuruhusu kila wakati kushikwa nyeti na diamond pia kuvaa vichupi kinyume na maadili ya dini yake ya kiislam. Washakunaku...
  4. Putin awajibu G7 kibabe

    The Russian president was asked about jokes made at his expense earlier this week, when Boris Johnson joked: ‘Shall we take our clothes off? We have to show we’re tougher than Putin.’ Canada’s Justin Trudeau then cited the dictator’s topless photos, saying, ‘We’re going to get the bare-chested...
  5. S

    George Bush amlaumu Putin kwa kuivamia 'IRAQ' kijeshi kwa uonevu pasi na haki

    George Bush kamlaumu vikali rais Putin wa Russia akisema kuwa Putin kaivamia Iraq kijeshi kwa uonevu tu pasi na sababu yoyote ya msingi... Bush aliposhtukia kuwa anaongea mambo ya ajabu aliyoyafanya yeye mwenyewe Iraq, akacheka kwa kuchapia kisha akasingizia uzee wake. Mwaka huu tutaona mengi...
  6. Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

    Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5. Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na...
  7. Wasiojulikana walivyopora kiwanda cha Mzee wa miaka 67 kibabe. Aomba Rais Samia amsaidie kupata Mali yake

    Mwekezaji mzawa wa kiwanda cha maziwa(New Northen) creameries Ltd na mjasiriamali wa mazao mbalimbali, John Kyenkungu arejea kumiliki mali yake aliyokuwa amenyang'anywa na watu walio jiita maofisa wa Serikali wasiofahamika tangu mwaka 2019 na Mali hiyo ni Kiwanda alichonunua sh.milioni 440...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…