Habarini wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, anahitajika kijana wa kusimamia shughuli za bustani ya mbogamboga hii ni kulima na kumwagilia, mashahara laki moja kwa mwezi, awe na uzoefu, nicheki namba 0653828027
Kwema wakuu?
Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli.
Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200
Kwa mujibu...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami.
Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami.
Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
KOMREDI MWAJABU MBWAMBO AONGOZA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM KUTEMBELEA IHSAN ORPHANAGE CENTER KIGAMBONI-KIBADA
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es salaam ukiongozwa na Mwenyekiti UWT Komredi Mwajabu Rajabu Mbwambo wameshirikiana na Uongozi wa UWT Kata Kibada kutembelea kituo cha...
Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa KM 41 Wilayani Kigamboni, Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hayo leo akiwa Kigamboni ambapo amesema hatua hiyo ni...
Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi
Aina: MALI DUTCHIE DOG
Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois
Umri : 3.5months
Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo
Walipo: Kigamboni-Kibada
Mawasiliano: 0713621678 au...
Habarii great thinkers,
Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.