Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale watu wanaodamka asubuhi mapema kwenye kwenye majukumu yao.
Vibaka hao wanakaba na kuwapora kwa...
Wizi mwingine sasa ni kama wametumwa na waganga wa kienyeji! Sasa huyo mtoto wamempeleka wapi kama si uchawi wote huo.
===================
Watu ambao hawajafahamika wamevamia nyumbani kwa mkazi wa Kibaha kwa Mfipa Mkoa wa Pwani, Melkisedeck Sostenes na kupora gari, pesa na vitu mbalimbali kisha...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha kwa Mfipa, Kata ya Viziwa Ziwa, Kitongoji cha Sagale Kabimbini (Sauti ya Umma) Mkoani Pwani.
Ninajitokeza kuandika malalamiko kwa niaba ya Wananchi wenzangu zaidi ya 340 tunaoishi katika eneo hilo nililolitaja juu.
Tunaamini kupitia JamiiForums ujumbe huu utafika katika...
NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA.
LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO.
NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI.
MCHANGA UKO HAPO HAPO
TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750
MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA
KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5
Square mita 300
Bado sijapata mteja sahihi.
NATAKA...
Habari
Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19
Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo
Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo
Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi...
Habari
Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000.
Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
Ni nyumba yenye vyumba vitatu, viwili vikiwa ni master pamoja na sebule na dining room. Eneo Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21, kuna eneo la shamba kama linavyoonekana kwenye picha.
Bei yake ni nafuu kabisa ya shilingi za kitanzania milioni sitini na Saba tu(67,000,000) lakini pia maongezi yapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.