Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport.
Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya.
Je ni haki?
Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...