kibanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Top Gun

    Nina milioni15 na plan ya kibanda cha 8.5m×8.5m, bedrooms mbili, bati ya cover max, finishing kiwango cha mpambanaji. Hii pesa itanifikisha hatua ipi?

    Karibuni wakuu
  2. N

    Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
  3. M

    Pre GE2025 Absolom Kibanda: Sekretariat ya CHADEMA inahusika na Wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA

    Katika hali inayoonyesha usanii mkubwa wa uongozi chini ya Mwenyekiti Mbowe, Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absolom Kibanda, ameongea na Watanzania kupitia katika mtandao wa Clubhouse kuwa Kuna watu ndani ya sekretariat ya CHADEMA walifanya uhuni na kughushi saini ya...
  4. Waufukweni

    Shabiki wa Yanga alalamika mechi zao kuoneshwa 500 za Simba kuwa 1000 Kibanda Umiza

    Wakuu Ndio kusema maji yamezidi Unga ama! == Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
  5. ukwaju_wa_ kitambo

    Kibanda Cha Simu "Soggy Doggy"

    MAMA NDIO CHANZO CHA WIMBO WANGU ( KIBANDA CHA SIMU )BY SOGGY DOGGY Soggy Doggy amesema chanzo cha yeye kuandika wimbo huo ni baada ya mama yake kupenda kufungia simu yao ya mezani ili kuogopa bili kuwa kubwa kwa watu kupiga hovyo, na kusababisha awe anakwenda kupiga simu kwenye vibanda vya...
  6. Sonship

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Kibanda cha mkaa

    Nyumba inauzwa mbezi kibanda cha mkaa Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja self Ina sitting& dinning room Ina kitchen na Public toilet Nyumba imeisha bado kufanya finishing tu kama utakavyohitaji wewe Bei mln 30 maongezi yapo Ipo umbali wa km 2 kutoka barabara ya morogoro road Eneo la kiwanja ni mita...
  7. Ghost MVP

    Bomba kubwa la Maji Kibanda cha Mkaa, Lapata Hitilafu baada ya mvua kubwa

    Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu. Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta...
  8. M

    Dotto Magari amjibu Mwijaku "ile nyumba au kibanda nitokee, watu wamejenga bangaloo"

    Mzuka mwanajamvi. Influencer na muuza magari maarufu nchini Dotto Magari ambaye ni watani na wanamashindano ya kimaisha na Mwijaku na baba level ameiponda nyumba mpya ya mwijaku iliyoleta gumzo la aina yake nchini toka jana. Video hapo chini https://www.youtube.com/watch?v=Af0N3hZ66t0 LIKUD...
  9. Tanki

    Msaada: Wapi nitapata zile mbao za kujengea kibanda Cha biashara ( Nipo Tabata DSM )

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
  10. R

    Ni nini msimamo wa Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu kuhusu DP world?

    Habari jf ,naona upepo umebadilika sana na hii ndio siasa sasa . Kwa walio karibu na Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu wawa ulize ni nini misimamo wao kuhusu Bandari zetu na DP World ? Ikumbukwe hawa ni waandishi wa kitabu cha ' I am the state .'
  11. GENTAMYCINE

    Muumini Mgonjwa wa Mtume Mwamposa afia katika Kibanda cha Mkaa Kawe Ukwamani

    Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili...
  12. Roving Journalist

    Absalom Kibanda: Serikali yenyewe ndio inatengeneza mazingira ya uwepo wa ‘Fake news’

    Mwanahabari mkongwe Absalom Kibanda ametoa maoni yake kuhusu umuhimu wa Serikali kufanya kazi kwa ukaribu na Vyombo vya Habari ambapo kwa asilimia kubwa amelaumu mazingira ya tata baina ya pande hizo mbili. Akitoa maoni katika Kongamano lililohusisha Wadau wa Habari, Serikali na Waandishi...
  13. adriz

    Wabongo wanakera sana tabia ya kusikiliza mpira redioni kibanda umiza wakati mechi inaendelea

    Moja kwa moja. Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea. Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
  14. BARD AI

    Waliojenga kibanda cha Mlinzi kwa Tsh. Milini 11 wafikishwa Mahakamani

    Watumishi hao ni Dkt. Zakayo Kyomo ambaye ni Kaimu Mkuu wa chuo cha VETA, Projestus Kabyemela (Mhasibu), Waziri Shaban Waziri (Mgavi) na Upendo Aidan Nindi (Afisa Ununuzi). Watumishi hao wanashitakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mamlaka kinyume na kifungu cha 31 cha Sheria ya Uhujumu Uchumi sura ya...
  15. Jidu La Mabambasi

    Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

    Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri. Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million. Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
  16. mirindimo

    Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  17. JanguKamaJangu

    Absalom Kibanda awakosoa vikali CHADEMA, asema "Ukishakula nyama ya mtu huachi", Lema amjibu

    Mwanahabari mkongwe na Mchambuzi wa siasa Absalom Kibanda amekosoa maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18. “Ni kweli Mdee na wenzake 18 walikosea. Msingi wa makosa yao ni kupinga ubabe wa kihistoria wa viongozi wenzao na kudai kwao...
  18. Gentleman96

    Nahitaji Kibanda cha M-Pesa bei isizidi 200,000/=

    NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=. Wakuu mambo vipi? Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao. Bei isizidi 200,000/= Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe. Nipo Dar es Salaam/ Kinondoni.
  19. Nyani Ngabu

    Kibanda cha kupigia nyungu Muhimbili bado kipo?

    Hii nchi ina vituko sana aisee! Yaani kila nikikaa na kukifikiria hiki kibanda cha kupigia nyungu hapo Muhimbili naishia kucheka. Hivi lilikuwa ni wazi la nani hasa kujenga hicho kibanda? Na ni kweli watu walikuwa wanaenda hapo kupiga nyungu? Kuna yeyote humu JF aliyeenda kupiga nyungu hapo...
  20. K

    Hivi inakuaje unanunua gari halafu unalifungia kibandani badala ya kulitumia?

    Kuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
Back
Top Bottom