Watumishi hao ni Dkt. Zakayo Kyomo ambaye ni Kaimu Mkuu wa chuo cha VETA, Projestus Kabyemela (Mhasibu), Waziri Shaban Waziri (Mgavi) na Upendo Aidan Nindi (Afisa Ununuzi).
Watumishi hao wanashitakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mamlaka kinyume na kifungu cha 31 cha Sheria ya Uhujumu Uchumi sura ya...
Habari zenu wanajukwaa.
Pia soma > Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa
Suala lililoshika kasi sana jana tarehe 08/09/22 ni sakata la kibanda cha mlinzi huko Uyui mkoani Tabora kugharimu milioni 11 za...