Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafuatilia malalamiko ya Wolter Fuime (32), Mkazi wa Mjimwema ambaye analalamika kushambuliwa na Askari Polisi waliokuwa doria.
Kamanda wa Polisi Mkoa Morogoro, Alex Mkama-SACP amesema Mei 26, 2024 Askari Polisi walifika kwenye banda la Wolter analotumia...